HOME-mira magazine

Advertisements
Latest Posts

Babalevo atangaza vita kwa yeyote atakayemtukana Diamond

hivi karibuni atangaza vita kwa mtu yeyote atakayemtukana Diamond.

Masaa 36 ya mfungwa namba 8612- Doug Korpi

Mwezi Agosti mwaka 1971, Profesa na mtafiti wa masuala ya Kisaikolojia Phillip Zimbardo akishirikiana na Ofisi za Navy za USA aliandika Tangazo ambalo lilibandikwa kwenye kila kona ya mji wa Calfornia. Tangazo hilo lilibeba maandishi yaliyowataka watu wenye akili timamu na afya njema kujitokeza ili kushiriki jaribio la kuchunguza athari za kisaikolojia zitokanazo na nguvu […]

Samatta ajiunga na Fenerbahce, Aston Villa FC yashuka followers

Mara baada ya mchezaji Mbwana Ally Samata kujiunga na klabu ya Fenerhance ya Uturuki kwa mkataba wa miaka minne, mashabiki wa nyota huyo wame-unfollow ukurasa wa instagram wa Aston Villa klabu ambayo Samatta alikuwa akiichezea mara kabla ya kujiunga na Fenerbahce. Kabla ya Aston Villa kuthibitisha kuondoka kwa nyota huyo ilikuwa na wafuasi 915k lakini […]

Tanzania: Panya anayeweza kugundua mabomu yaliyotegwa ardhini, atuzwa

Magawa ndilo jina la panya kutoka nchini Tanzania ambaye ameshinda tuzo ya dhahabu kwa kugundua mabomu yaliyotegwa ardhini nchini Cambodia. Katika maisha yake Magawa ameweza kunusa mabomu 39 na silaha 28 kabla hazijalipuka, shirika la wanyama lislokuwa la kiserilI la PSDA limemtuza panya Magawa medali ya dhahabu kwa kuokoa maisha ya watu wasiokuwa bna hatia […]

Loading…

Something went wrong. Please refresh the page and/or try again.

Advertisements
Harmonize

Harmonize azindua rasmi tamasha lake Harmo Night Carnival

Advertisements

MASTORI ZAIDI

Advertisements

Tunakuomba kujiunga na Mira Magazine kwa Mastori zaidi

Advertisements