MIRA MAGAZINE

Music, Celebrities news all around You

HOME-mira magazine

Advertisements
Latest Posts

Ben Pol kudai talaka kwa mkewe kulikoni?

Msanii wa bongofleva Ben Pol ameripotiwa kufungua shauri la talaka dhidi ya mkewe Anerlisa ambaye ni raia wa Kenya Shitaka hilo limefunguliwa katika moja ya mahakama ya mwanzo jijini Dar es salaam huku chanzo kilichopelekea msanii huyo kuchukua maamuzi hayo bado hakijajulikana. Ikumbukwe kuwa ndoa kati ya Benpol na Anerlisa ilifungwa mwishoni mwa mwezi May […]

Kim Kardashian atabiri bilionea atakayefuata

Baada ya kutangazwa na jarida la Forbes, bilionea mpya mjini Kim Kardashian aliyejipatia cheo hiko kupitia SKIMS na KKW Beauty atabiri bilionea atakayefuata kutangazwa katika familia yao. READ MORE Siku chache baada ya Kim Kardashian kutangazwa bilionea na jarida la Forbes, naye ameamua kutabiri nani atafuata kutangazwa kama bilionea kutoka katika familia yao jibu ilo […]

Nyuma ya pazia,Satan ya Rosa Ree|Rosa afungukia mahusiano yake

Yaliyomo nyuma ya pazia, nyimbo ya Satan ya Rosa Ree na jinsi inavyogusa hadithi ya mahusino yake ya kimapenzi Muziki wa hip hop ni miongoni mwa miziki ambayo inastrugggle sana ili kupenya kwenye soko la muziki nchini ukilinganisha na ilivyo kwa bongo fleva ijapokuwa wasanii wake wanafanya vizuri hususan kwenye utungaji wa mashairi yao ambayo […]

Alilolisema Makonda wakati wa mazishi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli kimesikitisha watu wengi huku kikiliacha taifa katika simanzi, huzuni na giza nene lenye fumbo ndani yake. Viongozi pamoja na watu mashuhuri wametoa kauli zao kufuatiwa na kifo hiki huku wengi Watanzania wengi wanaofuatilia mitandao kwa ukaribu wakishangazwa na ukimya uliopo kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa […]

Loading…

Something went wrong. Please refresh the page and/or try again.

Advertisements
Harmonize

Harmonize azindua rasmi tamasha lake Harmo Night Carnival

Advertisements

MASTORI ZAIDI

Advertisements

Tunakuomba kujiunga na Mira Magazine kwa Mastori zaidi

Advertisements
%d bloggers like this: