Licha ya klabu ya Barcelona kutaka kuachana na baadhi ya nyota wake mahiri kutokana na wengine mikataba yao kumalizika msimu huu akiwemo Suarez, Barcelona wametoa orodha ya wachezaji ambao hawapo katika mpango […]

Picha ya Simba katika nembo ya Ligi kuu nchini Uingereza inaweza kuwa si maarufu sana miongoni mwa mashabiki wa mpira licha ya umaarufu wa ligi hiyo kubwa na pendwa duniani. Hii ni […]
Rais wa klabu ya Barcelona, Josep Bartomeu leo amemtangaza Ronaldo Koeman kuwa ndiye atachukua mikoba ya kocha Quique Sentiene aliyetimuliwa klabuni hapo. Koeman alishawahi kufundisha katika vilabu vingi barani ulaya ikiwemo Everton […]
Afisa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara ameeleza kuwepo kwa wiki ya Simba ambayo itaitwa Champions Week au Wiki ya Mabingwa inayoanza hivi leo tarehe 14 Agosti na kufikiwa kilele […]
Giza limeanza kupotea na ndege wanalia kuashiria kwamba ni asubuhi na mapema sana katika ngome ya Makhuwa, Kusini mwa bara la Afrika. Baragumu limesikika na watu wameamka kukimbilia nyumbani kwa chifu Soshangane, […]