Category: Hadithi

Kisanduku cha Siri (sehemu ya 02/05)

Hadithi ya KISANDUKU CHA SIRI Inaeleza safari ya binti anayeitwa Suzana, aliyezaliwa katika familia duni.
Binti aliyeamua kutafuta historia iliyozikwa na familia yake, akiwa safarini kumtafuta kaka na baba yake aliyepotea kwa muda mrefu anakutana na misukosuko inayoharibu dhamira yake……..