Mwandishi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki Khaled Mohammed Khaled almaarufu kama DJ Khaled kutoka nchini Marekani ameshtua mioyo ya mashabiki wake duniani baada ya kutangaza nia yake ya kustaafu muziki na […]

Mwanafunzi mmoja anayesoma chuo Kikuu cha Texas nchini Marekani amefanikiwa kutatua fumbo la hisabati lililopasua vichwa vya wanahisabati mashuhuri duniani kwa zaidi ya miaka 50. Mwanafunzi huyo anayejulika na kwa jina la […]
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo ameagiza vijana wa JWTZ kuhakikisha Lori lililozama Mto Wami linatolewa mara moja. Jen. Mabeyo amesema hayo baada ya kuguswa na majanga yaliyomkuta […]
Wakati Wagombea mbalimbali wakiwa wanatangaza nia zao ili kuwania viti tofauti tofauti katika uchaguzi mkuu 2020, Msanii wa Hip Hop anayejulikana kwa jina la Wakazi ameamua kutupa karata yake kwenye siasa. Msanii […]
Ni ajabu kusikia kuwa Jogoo ameshtakiwa kwa kosa la kuwika kila asubuhi, lakini hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Jogoo ambaye anajulikana kwa jina la Maurice baada ya kushtakiwa mahakamani na wanadoa wastaafu waliokuwa […]