Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Fransic amesema kuwa amesikitishwa na uamuzi uliochukuliwa na Uturuku kugeuza hekalu la Hagia Sophia lililopo mjini Instabul kuwa msikiti. Akizungumza katika ibada moja makao makuu Vatcan […]

Chura wa kipekee aliyepewa jina la Asda amekutwa kwenye duka kubwa la kufanya manunuzi huko nchini Uingereza huku akiwa amesafiri umbali wa maili 5,000 kutoka Amerika ya kusini. Dunia ina maajabu mengi […]
Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli amemchagua mama Samia Suluhu kuwa mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri wa Muungano Tanzania kwa tiketi ya CCM, Magufuli amemwagia sifa […]
Ukitoa orodha ya waandishi na waongozaji wa filamu zilizofanya vizuri sana sokoni Hollywood na duniani kote huwezi kumsahau James Cameroon, mmoja kati ya waongozaji na waandishi mahiri wa filamu zinazotumia teknolojia ya […]
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ameweka wazi kuwa mwishoni mwa mwezi Julai 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendeleza shughuli za kisiasa. Mapema kuelekea mkutano wa Baraza kuu la Chama […]