Muandaaji wa mashindano ya Bongo Star Search BSS Madam Rita ameomba radhi mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe kwa kuchelewesha malipo ya […]

Swahili Songwriter from Kenya who captures the attention to whoever listens or watches to his music is back with new hit called LIAR featuring Tanasha Donna and the producer is Shirk Media […]
Tokyo Stylez ndiyo kampuni iliyohusika na kutengeneza wigi la mwanamama Cardi B ambaye ni mwimbaji wa muziki wa kufoka ama Rap kutoka nchini Marekani, wigi ambalo limetumika kwenye ngoma mpya ya WAP […]
Muigizaji kutoka nchini Marekani, Dwayne Johnson maarufu kama ‘The Rock’ ametangazwa kuwa muigizaji ambaye amelipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa mwaka 2019. Ikiwa ni kwa mara ya pili sasa Forbes inamtangaza The […]
Tizama Orodha ambayo imetolewa na Jarida la Forbes ambalo ni moja kati ya majarida maarufu duniani katika utoaji wa taarifa kuhusu utajiri wa watu mashuhuri na wasanii duniani. Dwayne Johnson- $87.5 Million […]