
Picha ya Simba katika nembo ya Ligi kuu nchini Uingereza inaweza kuwa si maarufu sana miongoni mwa mashabiki wa mpira licha ya umaarufu wa ligi hiyo kubwa na pendwa duniani. Hii ni […]
Journalist
Picha ya Simba katika nembo ya Ligi kuu nchini Uingereza inaweza kuwa si maarufu sana miongoni mwa mashabiki wa mpira licha ya umaarufu wa ligi hiyo kubwa na pendwa duniani. Hii ni […]
Giza limeanza kupotea na ndege wanalia kuashiria kwamba ni asubuhi na mapema sana katika ngome ya Makhuwa, Kusini mwa bara la Afrika. Baragumu limesikika na watu wameamka kukimbilia nyumbani kwa chifu Soshangane, […]
Balaa alilianzisha kwa masister pale St. Mary’s RC primary school, bahati iliyoje kumlea mtoto mwenye kipaji kikubwa cha soka kama kile. Baadaye alisogea Cardinal Langley Roman Catholic high school kuzishangaza rosari za […]
Baada ya klabu ya Juventus kutangaza kuachana na aliyekuwa kocha wake mkuu Maurizio Sarri , mabingwa hao wa Italia hatimaye wamemtangaza Andrea Pirlo kuchukua mikoba yake kwa mkataba wa miaka miwili. Maamuzi […]
Tuzo mbalimbali za wachezaji na vilabu zimetolewa usiku huu huku wachezaji kadhaa kutoka Simba wameonekana kungara kwenye utoaji wa zawadi mbalimbali zilizotolewa katika hafla lliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar […]