
Aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds FM, Divathebawse baada ya kutangaza kuacha kazi hivi karibuni hivi leo amerudi tena na jina la Kigagula ambalo aliwahi kupewa na mwanamuziki wa bongoi fleva Alikiba. Kupitia ukurasa […]
I deeply love writing as my only way to express my emotions, am a fan of Katy Perry too.
Aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds FM, Divathebawse baada ya kutangaza kuacha kazi hivi karibuni hivi leo amerudi tena na jina la Kigagula ambalo aliwahi kupewa na mwanamuziki wa bongoi fleva Alikiba. Kupitia ukurasa […]
Mwanamuziki kutoka kwenye kundi la WCB @officialZuchu amekabidhiwa gari lake rasmi likiwa limekarabatiwa upya baada ya kuzawadiwa na Diamond Platnumz ambaye ndiye Boss wa kundi hilo. Baada ya kukabidhiwa ndinga hiyo mwanadada […]
Jumla ya majeneza 27 yaliyozikwa miaka 2,500 iliyopita yamefukuliwa na wanaikolojia nchini Misri. Majeneza hayo yamefukuliwa kutoka kwenye makaburi yanayopatikana katika kisima kipya kilichogundulika eneo moja takatifu lililopo huko Saqqara kusini mwa […]
Ikiwa bado sakata la kufungiwa kwa mtandao wa Tik Tok linaendelea nchini Marekani hivi karibuni kumeibuka sakata jipya la kufungiwa mtandao mwingine wa Wechat ambapo utazuiliwa kupakuliwa kupitia ghala yoyote ile nchini […]
Kupitia ukurasa wake wa Instagram rapper Cardi B ameweka wazi sababu ambazo zimemfanya kuhitaji kukatisha mahusiano yake ya kimapenzi na baba wa watoto wake Offset ikiwa ni baada ya miaka mitatu ya kuishi nae katika ndoa.