Navykenzo kundi mashuhuri katika muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania hivi karibuni wameachia ngoma yao inayokwenda kwa jina la Nisogelee.

Kundi hili limepata mafanikio mengi sana kupitia muziki ikiwa na kujenga studio kubwa sana ambayo imegharimu kiasi kikubwa sana cha fedha ukilinganisha na studio zingine za kurekodia muziki ambazo zinapatikana nchini Tanzania

Download hapa

NYIMBO ZAIDI

Babalevo atangaza vita kwa yeyote atakayemtukana Diamond

Download mp3 Rosa Ree ft Snake Fire, Barkeliam, Diz Africana na Reymedya- Wote

Zuchu ft Diamond Platnumz- Cheche mp3 Download

Download mp3 audio Harmonize ft Anjella -All night (EDM version)