BURUDANI

Tanzania: Panya anayeweza kugundua mabomu yaliyotegwa ardhini, atuzwa

Panya huyo amezaliwa na kulelewa nchini Tanzania, pia amekuwa ni tofauti na spishi za panya wengine nchini humo, inelezwa kuwa Magawa ni mwepesi mno kiasi cha kuweza kupita juu ya bomu na lisiteguke.

Panya hao hupewa mafunzo ya hali ya juu ya kutambua kemijkali zinazotumika kutengenezea vilipuzi hivyo hawawezi kujihusisha na vitu vingine zaidi ya hivyo tu aidha hii huwapa wepesi na uharaka zaidi wa kutambua bomu, na wakishalipata hukwaruza juu na kuwaita kuwaonyesha wakufunzi wao.

READ MORE: Je Wajua?: Nchi mbili zilizowahi kutumia bendera zinazofanana

Advertisements

READ MORE: Blanche Monnier: Binti aliyefungwa kwa miaka 25 ndani ya chumba chenye giza.

Inaelezwa kuwa Magawa anaweza kubaini mabomu yaliyotegwa kwenye uwanja wa mita mia moja (ukubwa wa kiwanja cha mpira) kwa muda wa dakika 20, ukilinganisha na mtu ambaye atatumia kifaa cha utambuzi wa mabomu ambapo inaweza kumgharimu siku mpaka tatu au nne.

Follow Me

Get new content delivered directly to your inbox.

Advertisements

Aidha Magawa hufanya kazi kwa muda wa saa moja na nusu kuanzia asubuhi, hata hivyo Panya Magawa anakaribia kustaafu kazi yake na Mkurugenzi Mkuu wa PDSA akimpongeza kwa kusema kuwa muda wote wa uhai wake amefanya kazi ya kipekee na kuridhisha.

READ MORE: Swizz Beatz afunguka sababu za Diamond kuimba Kiduchu kwenye Wasted Energy

“Kazi ya Magawa inaokoa na kubadilisha maisha ya binadamu ambao wanaathiriwa na mabomu hayo ya kutegwa ardhini” akiliambia Shirika la Habari Press Association, kila ufumbuzi anaoupata unapunguza kujeruhiwa au kuuawa kwa watu.

Pages: 1 2

Categories: BURUDANI

Tagged as: , ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.