Mara baada ya mchezaji Mbwana Ally Samata kujiunga na klabu ya Fenerhance ya Uturuki kwa mkataba wa miaka minne, mashabiki wa nyota huyo wame-unfollow ukurasa wa instagram wa Aston Villa klabu ambayo Samatta alikuwa akiichezea mara kabla ya kujiunga na Fenerbahce.

Advertisements

Kabla ya Aston Villa kuthibitisha kuondoka kwa nyota huyo ilikuwa na wafuasi 915k lakini mara tu baada ya kutangazwa kuwa Samata amejiunga na Fenerbahce na kisha kumtakia kila la kheri wafuasi hao wamezidi kushuka hadi kufikia 904k hivi sasa.

Advertisements

Wafuasi wao kwa sasa ni

Kitendo kama hiki si mara ya kwanza kinatokea, iliwahi kutokea pia kwa mchezaji nyota duniani Cristiano Ronaldo alipohama kuamia klabu ya Juventus.