Meneja Almas Mzambele wa Rapper Country boy ambaye yeye kwa sasa amesajiliwa chini ya lebo ya Konde Music Worldwide amesema kuwa lebo hiyo kwa sasa ina mpango wa kuliteka soko la muziki bongo fleva na Afrika kwa ujumla

Advertisements

Mzambele ameongeza kuwa kwa upande wa Harmonize ambaye ndiye CEO wa gang hilo wanataka aliteke soko la muziki kidunia hata likitajwa jina la Harmonize na Chris Brown iwe kitu cha kawaida tu na hata siku moja waje kupiga show wakiwa jukwaa moja.

Advertisements
Harmonize
Advertisements
Video kutoka Bongo5Media

MASTORI ZAIDI

Advertisements

Processing…
Success! You're on the list.