Advertisements

Licha ya klabu ya Barcelona kutaka kuachana na baadhi ya nyota wake mahiri kutokana na wengine mikataba yao kumalizika msimu huu akiwemo Suarez, Barcelona wametoa orodha ya wachezaji ambao hawapo katika mpango wa kuuzwa au kuondolewakna klabu hiyo.

Watakaobakia Ni Golikipa Ter-Stegen, Athur Fati, Messi, Greezman, Semedo, Lenglet, De Jong na O. Dembele

Advertisements