Advertisements

Rais wa klabu ya Barcelona, Josep Bartomeu leo amemtangaza Ronaldo Koeman kuwa ndiye atachukua mikoba ya kocha Quique Sentiene aliyetimuliwa klabuni hapo.

Koeman alishawahi kufundisha katika vilabu vingi barani ulaya ikiwemo Everton , Ajax, Valencia, Southampton na mwaka 2018-2020 ndiye kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Uholanzi.

Advertisements

Aidha Barcelona iliamua kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Quique Setiene na Mkurugenzi wa michezo Eric Abdal baada ya kupokea kipigo cha mabao 8-2 kutoka kwa Mabingwa wa Ujeruman Buyern Munich katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

Advertisements

Koeman ataitumikia Barcelona kwa miaka miwili