BURUDANI

Mtindo wa nywele wa Cardi B ulivyowashangaza wengi

Tokyo Stylez ndiyo kampuni iliyohusika na kutengeneza wigi la mwanamama Cardi B ambaye ni mwimbaji wa muziki wa kufoka ama Rap kutoka nchini Marekani, wigi ambalo limetumika kwenye ngoma mpya ya WAP aliyoiachia Agost 7.

Ijapokuwa nyimbo ya WAP imekuwa gumzo sana hasa kwenye mitandao lakini bado haikuweza kuficha kelele za mashabiki kuhusiana na muonekano wa wigi hilo, ambapo mpaka baadhi ya wasanii na watu mashuhuri kama yeye wamefunguka wakihitaji kufahamu jinsi ya kutengeneza wigi hilo.

Download mp3 Audio: Nandy- Dozi
Download mp3 Audio: Navy Kenzo ft Tiggs Author- Pon Me

Download mp3 Shilole ft Gnako- Viuno

Advertisements

Kim Kardashian pamoja na La La Anthony moja kati ya watu mashuhuri ambao moja kwa moja waliamua kuipongeza kampuni ya Tokyo Stylez kutokana na uzuri wa wigi hilo ambalo limetengenezwa kwa muonekano wa nyororo.

Cardi B akiwa anatengeneza video ya WAP
Advertisements

Tokyo ambaye ndiye mmiliki wa kampuni ya Tokyo Stylez amefanya kazi ya kuwapendezesha wasanii wengi, kama vile Nicki Minaj, Beyonce, na Kylie Jenner moja kati ya sifa kuu ambayo amejijengea na uwezo wake kutengeneza wigi au kubadilisha muonekano wa nywele za mteja bila kuharibu nywele zake za asili.

“Ni kweli nywele zimekuwa ndefu, mwanzoni sikuwa na uhakika kama ingeweza kufanikiwa kwasababu ya uzito wake lakini mwishowe imekuja kuwa kazi ya mafanikio baada ya kujaribu na kukosea mara kwa mara” amesema Tokyo.

Advertisements

Related Posts

Advertisements

Categories: BURUDANI

Tagged as: , ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.