Tizama Orodha ambayo imetolewa na Jarida la Forbes ambalo ni moja kati ya majarida maarufu duniani katika utoaji wa taarifa kuhusu utajiri wa watu mashuhuri na wasanii duniani.

Advertisements
  1. Dwayne Johnson- $87.5 Million
  2. Ryan Reynolds – $71.5 Million
  3. Mark Wahlberg – $58 Million
  4. Ben Affleck – $55 Million
  5. Vin Diesel – $51 Million
  6. Akshay Kumar – $48.5 Million
  7. Lin-Manuel Miranda – $45.5 Million
  8. Will Smith $44.5 Million
  9. Adam Sandler $41 Million
  10. Jackie Chen $40 Million