Advertisements

Watu wengi hasa mastaa wa muziki na watu wengine maarufu wamejitokeza kusherehekea siku ya paka duniani ambayo hufanyika Agosti 8 kila mwaka. Miongoni mwa mastaa wa muziki walijitokeza hadharani wakiwa na paka wao ni Taylor Swift 30, akiwa na rafikiye Gigi Hadid 25.

“Inaaminika kuwa Paka wamekuwa wakiabudiwa katika nchi ya Misri ya kale wakati huo ikiwa inaongozwa na Malkia Cleopatra mwaka 49 KK, Viumbe hawa wamepewa sifa ya kuwa watiifu sana kwa wanadamu” source hollywoodlife.com.

Taylor Swft picha hollywoodlife.com
Advertisements
Emma Rossum
Advertisements
Gigi Hadid akiwa na paka wake Cleo
Advertisements
Paris Hilton