MICHEZO

Madrid, Juventus zatupwa nje UEFA

Advertisements

Michuano ya klabu bingwa barani ulaya iliendelea hapo jana baada ya kusimamishwa kwa muda tangu mwezi machi mwaka huu kutokana na mlipuko wa ugonnjwa wa corona.

Michezo miwili ilipigwa jana katika viwanja tofauti ambapo mabingwa wa ligi kuu nchini Hispania, Real Madrid walikuwa ugenini kuwakabili Manchester city mechi ambayo ilimalizika kwa Man City kuibuka na ushindi wa magoli 2-1.

Kutokana na matokeo hayo Madrid wametupwa nje ya mashindano kwa jumla ya mabao 4-2 kwani katika mchezo wa awali uliopigwa jijini Madrid pia walipokea kichapo cha magoli 2-1.

Advertisements

Hali si shwari kwa Madrid tu bali hata kwa mabingwa wa ligi kuu nchini Italia, klabu ya Juventus nao wameaga mashindano hayo wakiwa katika uwanja wa nyumbani dhidi Lyon mchezo ambao ulimalizika kwa klabu hiyo kutupwa nje ya mashindano licha ya kuchomoza na ushindi wa magoli 2-1.

Advertisements

Kutokana na ushindi huo Lyon wamefuzu katika hatua ya Robo fainali kwa faida ya goli la ugenini ambalo walilipata katika mchezo huo.

Categories: MICHEZO

Tagged as: ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.