MICHEZO

Mchezo wa ‘SamaKiba nifuate’ kuchezwa Jumamosi Agosti 8 .

Advertisements

Nahodha wa Timu ya Taifa ,Taifa stars Mbwana Ali Samatta amesema kuwa mechi ya Timu Samatta na Timu Alikiba “SamaKiba nifuate” itafanyika siku ya Jumamosi tarehe 8 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam samatta amewaomba watanzania na mashabiki wa mpira kujitokeza kwa wingi siku hiyo.

Pia Samatta amewaomba watu maarufu kusaidia kutangaza mechi katika mitandao ya kijamii ili kila mtu na shabiki wa mpira kuwa na taarifa za mechi hii.

“Nawaomba watu followers wapost Mimi na Alikiba tunasaidia jamii tusiangalie tofauti zetu”

Advertisements

Katika mchezo huu Samatta ametaja viingilio na sehemu ya kupata tiketi , kiwango kikubwa kitakuwa ni Tsh 5000 kwa VIP na Tsh3000 kwa mzunguko.

Tiketi za mchezo huu zinapatikana katika maduka ya Vunja bei, Magomeni ice cream, Binslum na Mbagala darlive.

Categories: MICHEZO

Tagged as: ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.