Advertisements

Katibu mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM, Hamphrey Polepole ametangaza kufanyika kwa Tamasha la CCM katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, Polepole amesema kuwa Tamasha Hilo litafanyika tarehe 15 agosti mwaka huu na hakutakuwa na kiingilio.

Advertisements

Aidha Polepole ameongeza kuwa Tamasha Hilo litajumisha wasanii 109 wa Tanzania Ambao watatambulisha nyimbo ambazo zitatumika katika kampeni za uchaguzi hapo oktoba 28 mwaka huu