Advertisements

Klabu ya Yanga imeamua kuachana na baadhi ya nyota wake baada ya mikataba yao kuisha na wengine kuitishwa mikaba yao.

Katika orodha ya majina ya wachezaji walioachwa na klabu hiyo ,mchezaji Benard Morrison ambaye alikuwa akitegemewa na mashabiki wengi kuwa ataondoka katika klabu hiyo jina lake halikuonekana katika orodha ya wachezaji waliositishiwa au kumaliza mikataba yao.

Advertisements

Wachezaji walioachwa kutokana na mikataba yao kuisha ni David Moringa, Mrisho Ngassa, Papy tshishimbi, Tariq self, Mohamed Banka, Jaffary Mohamed na Dante

Yanga imeamua kusitisha mikataba kwa baadhi ya wachezaji ambao ni yikpe, Ally Mtoni, Ali Ali muharan issa, Sibomana, Erick Kabamba na Raphael Daud.

Yanga wamesitisha mikataba ya wachezaji hao kutokana na kiwango cha wachezaji hao kutoridhisha katika kikosi hicho

Pia Yanga wako katika mazungumzo na wachezaji wake wawili ambao ni Yondani na Juma Abdul ambao mikataba yao inamemalizika msimu huu hivyo wanaweza kuongeza mkaba mwingine.

Wakati fyeka fyeka ya wachezaji ikiendelea katika klabu ya Yanga mchezaji Benard morrison Hana shaka na papaso Hilo kwani ametajwa miongoni mwa wachezaji watakaoendelea kukipiga katika klabu hiyo

Advertisements