Advertisements

Kamati ya Tuzo ya ligi kuu Tanzania Bara imetoa majina ya wachezaji watakao wania nafasi mbalimbali katika utoaji wa tuzo.

Tuzo zinazotarajiwa kutolewa na na kamati hiyo hiyo ni Kocha bora , mchezaji bora, Beki bora , kiungo bora, Goli bora, kipa bora, Timu yenye nidhamu, mwamuzi bora na mwamuzi bora msaidizi.

Advertisements
Advertisements
Advertisements

#Tufollow