BURUDANI

Harmonize azindua rasmi tamasha lake Harmo Night Carnival

Advertisements

Msanii wa bongo fleva Harmonize leo amezindua tamasha lake linaloenda kwa jina la Harmo Night Carnival ambalo litafanyika kwenye uwanja wa Uhuru pia ameeleza kuwa tamasha hilo litakuwa la kipekee ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki.

Uzinduzi huo umeambatana na uzinduzi wa logo ya tamasha hilo ambayo ndiyo itakayokuwa ikitumika siku hizo, tamasha hilo limepangwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 28 November 2020.

Aidha mpaka sasa Harmonize ametangaza kuwa tamasha hilo litajumuisha wasanii 15 kutoka nje ya nchi wakiwemo wale ambao amefanya nao kazi kwenye albamu ya Afroeast pia wasanii wa ndani nao watakuwepo.

Advertisements

Pi amegusia suala la malipo kwa wasanii na kusema kuwa wao wenyewe watasema wanahitaji kulipwa kiasi gani, na kuhusu kuchagua wasanii wakuperform Harmonize amesema kuwa watakaopenda kuja wataomba kwani akichagua yeye itaonekana kama anapendelea.

Advertisements

1 reply »

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.