Advertisements

Manchester United inayoongozwa na kocha mkuu Ole Gunnar bado ina matumaini ya kuinasa saini ya winga wa Borrusia Dortmund Jadon Sancho licha ya dau lake kuwa kubwa.

Inaelezwa kuwa bado United ipo katika mazungumzo na mabosi wa Dortmund ili kufanikisha zoezi zima la kuinasa saini ya winga hiyo wenye uwezo wa kuheka na nyavu muda wowote.

SOMA PIA..

Advertisements

Kwa msimu 2019/2020 Sancho mwenye umri wa miaka 25 ametupia jumla ya mabao 20 ambayo ni sawa na jumla ya pasi ambazo ametengeneza jambo ambalo limewatia hamu kubwa United kuwahi saini ya nyota huyo.

Dau lililowekwa kwa Winga huyo ni Pauni milioni 100 jambo ambalo limewawia ugumu United kuvunja kibubu na kumsaini winga huyo ambaye anamaliza mkataba wake 2022.