Advertisements

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam atakabidhi ofisi rasmi leo Agosti 3, 2020 kwa mkuu wa mkoa huo kwa sasa Aboubakar Kunenge

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mh Makonda ameandika “Kesho saa nne asubuhi safari yangu ya ukuu wa Mkoa inahitimishwa na kukabidhi, Hakika Mungu amejitwalia utakatifu wake kwa kazi isiyokuwa na mikono milegevu Kesho nitawaaga rasmi wana DSM

Advertisements