Advertisements

Uongozi wa Yanga umetangaza kumfukuza kazi kocha wa klabu hiyo Luc Eymael kutokana na kauli ambazo si za kiungwana na za kibaguzi alizozitoa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vya habari

Hilo limetangazwa leo na Kaimu katibu mkuu Wakili Simon Patrick, kupitia barua iliyotolewa kwa vyombo vya habari