BURUDANI

Ujumbe Diamond kwa Babu Tale baada ya kushinda kura za Maoni

Advertisements

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na Mkurugenzi wa kampuni ya WCB, Diamond Platnumz ametoa ujumbe uliolenga kumpongeza Babu Tale ambaye pia ni meneja wake baada ya kushinda kura za maoni jimbo la Morogoro vijijini.

Msanii huyo ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ushindi alioupata Babu Tale ni wa kishindo na wao (pamoja na wasanii wenzake) wanasubiri tu kamati kuu imalize kisha waachie nyimbo za kampeni kwa ajili yake…..

BOFYA KUSOMA…

“Sio tu ushindi bali ni ushindi wa kishindo..!!! Nasemaje kama nilivyosema mwanzo sina mashaka na uongozi wako, kama uliweza nioongoza mimi, wasafi na wasanii mbalimbali na tukafika hapa, basi naamini unaweza iongoza vyema Morogoro Vijijini Kusini Mashariki na kuipatia maendeleo wanayoyataka….tunasubiri kamati kuu imalize shughuli tuanze kufumua manyimbo na kampeni ianze tulichukue jimbo kwa kishindo Tale Hoyee. aliandika msanii huyo.

Advertisements

Babu Tale ameongoza jimbo la Morogoro vijijini kwa kura za maoni 318 na anayemfuatia akiwa na kura 242.

Categories: BURUDANI

Tagged as: ,

2 replies »

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.