Kanye Presidential RallyBURUDANI

Kanye West kuachana na mpango wa urais mpaka 2024

Advertisements

Rapper nguli kutoka Marekani Kanye West ambaye hivi karibuni amekuwa akitrend kutokana na harakati zake za kutaka kuwania kiti cha urais nchini Marekani, ameshangaza watu tena baada ya kuweka wazi kuwa huenda hastahili nafasi hiyo kwa mwaka 2020.

Rappper huyo mwenye umri wa miaka 43 amekuwa akiandika jumbe mfululizo kupitia ukurasa wake wa twitter, ambazo zimekuwa zikimshtumu mkewe Kim Kardashians na mama mkwe wake Kris Jenner kuwa walikuwa wakimfungia ndani kwa kile kinachodaiwa kuwa rapper huyo ameanza tena matatizo ya akili.

BOFYA KUSOMA PIA..

Kanye West pia aliandika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa anataka kugombea urais ifikapo mwaka 2024 akiwa ameghairisha nia aliyoiweka kwa mwaka 2020.

Advertisements

Aidha Kanye West baada ya kuwepoka chapisho hilo lenye rangi ya chungwa na maandishi meusi ndani yake yaliandikwa maandishi ya albamu yake ya DONDA ambayo anataraji kuiachia hivi karibuni.

Pia Kanye amesema kuwa anafikiri Wamarekani weusi wote watampigia kura Joe Biden ambaye ni mpinzani mkubwa wa Donald Trump.

Advertisements

PICHA

Kanye West (kushoto) akiwa na Kim Kardashian (kulia) Santa Monica picha na Hollywoodlife
Advertisements
Kanye West akiwa na Kim Kardashian wakihudhuria moja kati ya mechi za mpira wa kikapu picha na Hollywoodlife

2 replies »

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.