Advertisements

Msanii wa muziki wa bongo fleva na CEO wa Konde Music Worldwide Harmonize leo ameweka wazi nia yake ya kutangaza wasanii watatu ambao watajiunga na lebo hiyo kuanzia mwezi wa nane (Agosti).

Msanii huyo ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram “Ndoto…. !! timu…. wasanii watatu wapya mwezi wa nane itakuwa ya kufurahisha sana”

Hadi sasa leo hiyo imeshamtambulisha msanii mmoja ambaye anafanya vizuri kupitia EP yake iliyokwenda kwa jina la ya STEP iliyokuwa na nyimbo tano tu