Advertisements

Ni dhahiri kuwa walichokipanga kutimiza tayari kimeshaanza kutimia, CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz alisema kuwa watahakikisha usiku wa IAM ZUCHU unafanyika kivingine ili kuridhisha wadau watakaotoa viingilio vyao hasa walee wa Milioni.

Jionee mwenyewe maandalizi ya usiku wa Zuchu wa Shukrani jinsi ulivyofana hapo Mlimani City jijini Dar es salaam

Jinsi timu nzima ya WCB ilivyokusanyika katika maduka ya Vunja bei ikiwa na ulinzi mkali

Tizama timu nzima ya WCB

Kupitia ukurasa wao wa Instagram WCB Wameeleza kuwa limechongeshwa sanamu la Zuchu kwa ajili ya watu kupigia pichaa

Advertisements
Picha ya sanamu yenye muonekano wa Zuchu
Advertisements
Muonekano wa Red Carpet ya usiku wa I AM ZUCHU
Advertisements

Jiunge nasi kwa updates zaidi