Advertisements

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni CEO wa lebo ya Kings Music Alikiba ameweka wazi kuhusiana na show yake ambayo ataifanya mkoani Kigoma aliyoipa jina la ‘Mfalme arejea nyumbani’.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Alikiba ameandika “Mfalme anarejea nyumbani Tarehe 31 July siku ya Eid El Hajj Lake Tanganyika Stadium.

Pia Alikiba amtangaza show ya pili baada ya kutangaza show atakayoifanya Mtwara katika uwanja wa Nangwanda Sijaona tarehe 07 Agosti 2020.

Advertisements