Tundu LissuHABARI

Tundu Lissu aweka wazi mpango wa kurejea nchini

Advertisements

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ameweka wazi kuwa mwishoni mwa mwezi Julai 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendeleza shughuli za kisiasa.

Mapema kuelekea mkutano wa Baraza kuu la Chama na mkutano mkuu utakaofanyika Julai 29 2020 Tundu Lissu amesema kuwa lazima atahudhuria mkutano huo ambao utahusika kumptisha mgombea urais kupitia CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa Tundu Lissu ni mmoja kati ya watia nia waliojitokeza kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha CHADEMA katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2020.

Endapo ratiba yake ya kurudi nchini itakamilika basi itakuwa ni mara yake ya kwanza kurudi tangu alipopelekwa nchi za ughaibuni kwa matibabu, baada ya tukio la kushambuliwa na watu wasiojulikana.

Advertisements

Chanzo EATV

Categories: HABARI

Tagged as: ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.