Nguli wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameamua kuvujisha nyimbo ambayo anategemea kuitoa hivi karibuni

Ndani ya nyimbo hiyo imesikika sauti ya RayVanny ambaye pia ni msanii aliyeko katika lebo hiyo ya WCB

Katika Verse ya kiingilio RayVanny amesikika akimtambulisha Diamond Platnumz kama #mtotowaTandale

Bofya video kutizama

DIAMOND PLATNUMZ PHOTOS