MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rajab Abdul almaarufu kama Harmonize hivi karibuni ameachia video mpya za nyimbo zake kutoka katika albamu ya Afro East ambayo imekuwa ikifanya vizuri sokoni tangu kuzinduliwa kwake

Hapo jana Msanii huyo aliandika katika ukurasa wake wa instagram kuwa ataachia video tatu za nyimbo zake , ambapo mpaka sasa hivi tayari ameshaachia video mbili.

Miongoni mwa video hizo ni Harmonize ft Lady Jay Dee iliyokwenda kwa jina la Wife pia Never give up ambayo ameiimba kwa lugha ya kiingereza tu

Bofya kutizama video ya wife ya Harmonize na Lady Jay Dee
Bofya kutizama video ya Harmonize ya Never give up

BOFYA KUTAZAMA PICHA ZA HARMONIZE