Rais Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu wa Mawasiliano, Katibu mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Mganga Mkuu wa Serikali.

HABARI ZA HIVI KARIBUNI