HABARI

Gigi Hadid & Zayn Malik: Hatimaye Valentine yaibua mapenzi yao upya

GIGI HADIDI amethibitisha kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake baada ya uvumi wa kurudiana kwao kuendelea kuogezeka.

Siku ya Valentine inajulikana kuwa ndiyo sikukuu ya wapendanao duniani kote, inaaminika kuwa ndio siku ambayo watu wengi hupenda kuwa pamoja na wapendwa wao.

Gigi amewaacha mashabiki wake mdomo wazi baada ya kuweka chapisho la mpenzi wake wa zamani, Zayn Malik akiwa shambani huku akiandika caption ambayo imeibua maswali kwa mashabiki zake.

Gigi aliweka chapisho hilo la mpenzi wake kisha akaandika “HEY VALENTINE” 

Ukurasa wake wa intagram ulichafuka mara tu baada ya Gigi kuweka chapisho hilo, mashabiki zake walikuja juu wakimtaka aweke picha nyingine iliyomuonesha akiwa pamoja na Zayn Malik.

Kabla ya Gigi kuweka wazi juu ya uhusiano wake na Zayn kwa sasa wawili hao walianza kushukiwa kuwa wameamua kurudiana baada ya kuoneka wakiwa pamoja kushehereka siku ya kuzaliwa kwa Zayn Malik tarehe 11 January huko New York City.

 

Categories: HABARI

Tagged as:

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.